Wanaharakati na wadau wa Kiswahili wamezitaka nchi za jumuiya ya Afrika mashariki kuanzisha mabaraza ya Kiswahili kama mojawapo ya suluhu ya changamoto kubwa zinazokabili ukuaji wa Kiswahili kwenye ...
Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanakutana leo jijini Dar es Salaam kwa mkutano wa dharura. Pamoja na ajenda zingine, mkutano huu wa 17 unatarajiwa kujadili mkataba wa ...
Kama kuna tarehe moja tu ambayo inaweza kuwakilisha uhuru, mapinduzi, demokrasia, lugha ya Afrika, na umoja wa kikanda, basi tarehe hiyo ni Julai 7 yaani Saba Saba. Tarehe 7 Julai, inayojulikana sana ...